WELCOME NOTE

WELCOME NOTE

PICHA

PICHA

TANGAZO

Monday, September 3, 2012

MAUDHUI YALIYOPO KATIKA SOMO LETU LA V/T


MADA YA KWANZA
1.0 MISINGI YA KUBUNI, KUFARAGUA NA KUTENGENEZA VIELEZO NA TEKNOLOJIA
1.1   Uelewaji wa lengo
1.2   Uzingatiaji wa umri na uelewa wa walengwa
1.3   Uchoraji wa michoro na vipimo
1.4   Uzingatiaji wa ubora wa vielelezo na teknolojia
1.5   Udadisi na ufikirishaji kwa mlengwa
1.6   Uhusiano wa vielelezo na teknolojia na mada husika
MADA YA PILI
       2.0 VIELELEZO NA TEKNOLOJIA KWA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA
                   2.1 Vielezo na teknolojia kwa kufundishia na kujifunzia
                   2.2 Upatikanaji wa vielezo na teknolojia                    
 
 MADA YA TATU
3.0 AINA ZA VIELELEZO NA TEKNOLOJIA
          3.1 Vielelezo na teknolojia asilia
          3.2 Vielelezo na Teknolojia kisasa
MADA YA NNE

  4.0   MAKUNDI YA VIELELEZO NA TEKNOLOJIA
          4.1 Vielelezo na teknolojia maono
          4.2 Vielelezo na teknolojia masikizi
           4.3 Vielelezo na teknolojia masikizi –maono.
MADA YA TANO
   5.0 MBINU ZA KUFARAGUA NA KUTENGENEZA VIELELEZO NA
         TEKNOLOJIA KWA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA
         5.1 Kufaragua vielelezo na Teknolojia kwa kufundishia na kujifunzia
         5.2 Kutengeneza vielelezo na teknolojia kwa kufundishia na kujifunzia
MADA YA SITA
    6.0 MATUMIZI YA VIELELEZO NA TEKNOLOJIA KWA KUFUNDISHIA
           NA KUJIFUNZIA
           6.1 Sifa za vielelezo na teknolojia kwa kufundishia na kujifunzia
            6.2 Umuhimu wa vielelezo na  teknolojia kwa kufundisia na kujifunzia
           6.3 Vielelezo na teknolojia kwa wenye mahitaji maalumu
           6.4 Utunzaji na usalama wa vielelezo na teknolojia

No comments:

Post a Comment